Stars yaifuata Uganda Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', imeondoka leo saa 11:00 jioni kwenda kucheza mechi ya marudiano ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) dhidi ya Uganda. Read more about Stars yaifuata Uganda