Mtumishi wa TANESCO anasa kwenye nguzo na kufariki

Nguzo ya umeme

Mfanyakazi wa Shirika la Umeme (TANESCO) mkoani Songwe, amefariki dunia mara baada ya kunasa kwenye nguzo ya umeme wakati akitekeleza majukumu yake katika soko la Malindi lililopo Kijiji cha Isongole wilayani Ileje mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS