Simba Queens bado tuna deni kubwa

Kikosi chetu cha Simba Queens

Baada ya kutwaa taji la ubingwa wa Cecafa, kocha mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma amesema bado ana kazi kubwa ya kufanya ili kuhakikisha timu inafanya vizuri kwenye mashindano makubwa yaliyo mbele yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS