Vyuo vya VETA kujengwa Wilaya 62 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatarajia kuanza ujenzi wa vyuo vya VETA katika Wilaya 62 ambazo hazina vyuo hivyo. Read more about Vyuo vya VETA kujengwa Wilaya 62