Mafuriko yaleta majanga Nigeria Mamlaka nchini Nigeria zinasema kwamba zaidi ya watu 300 wamepoteza maisha huku wengine zadi ya 100,000 wakiwa hawana mahali pa kuishi kutokana na mafuriko makubwa nchini humo tangu mwezi Julai mwaka huu. Read more about Mafuriko yaleta majanga Nigeria