Nyumba yateketea Dodoma, chanzo chatajwa

Nyumba iliyoungua

Moto umeteketeza nyumba yenye vyumba sita hii leo Septemba Mosi, 2022, eneo la Kata ya Chamwino Chinangali Jijini Dodoma, na kuunguza vitu vyote vilivyomo ndani ya nyumba hiyo, huku chanzo kikitajwa kuwa ni kuvuja kwa gesi ambayo hewa yake ilikutana na joto la mkaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS