Kichwa cha kichanga chaonekana kimebebwa na Mbwa
Mbwa mmoja akiwa amebeba kichwa cha mtoto mchanga, ameonekana katika mtaa wa Vumilia wilayani Kiteto mkoani Manyara, usiku wa kuamkia leo Septemba Mosi, 2022, na kuzua taharuki kwa wananchi wa eneo hilo.