Amuua mtoto mwenzake kwa kosa la kushika Kanzu
Jovin Saimon (10) aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Uwanja iliyopo Halmashauri ya mji Geita amefariki baada ya kupigwa ngumi ya tumbo na jirani yake Haruna Amini (16) mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Mkombozi kwa kosa la Kushika Kanzu yake