Watoto 182,312 kupatiwa chanjo ya Polio

Chanjo ya Polio

Idara ya afya katika mkoa wa Lindi, inakusudia kuwapatia chanjo ya matone ya ugonjwa wa Polio watoto 182,312, walio na umri chini ya miaka mitano, lengo ni kuwakinga na ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS