Ajali yaua watumishi wa TANESCO Manyara

Gari lililokuwa na watumishi wa TANESCO

Watumishi watatu wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) mkoa wa Manyara, wamefariki dunia katika ajali iliyotokea kwenye barabara ya Babati Singida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS