RC Malima atoa maelekezo maonesho ya biashara
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima amesikitishwa na maandalizi mabovu ya maonesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Nyamagana na kuwaagiza wakuu wa wilaya ya Nyamagana na Ilemela kutafuta eneo maalum kwa ajili ya maonesho hayo