Wanaobandika lebo bandia Shinyanga waonywa
Serikali Mkoani Shinyanga imetoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa zilizomaliza muda wa matumizi kwa kubandika stika na lebo za bandia, jambo linalohatarisha afya za watumiaji wa bidhaa hizo.