Safari yetu bado ndefu kushinda makombe- Ten Hag

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag amesema kikosi chake bado kipo kwenye hatua za awali kwenda kwenye mafanikio na bado wanasafari ndefu hivyo wanapaswa kuwa bora kila siku ili kufikia malengo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS