Tanzania yawasilisha miradi minne TICAD - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaohusu ushirikiano wa Maendeleo baina ya Japan na Afrika (TICAD8) ambao umemalizika jana.