"Majaji wanawake wanazingatia weledi"- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba malengo yake huko mbeleni ni kuweka usawa wa 50 kwa 50 kwa Majaji wa Mahakama Kuu na kwamba Majaji wanawake wanazingatia weledi zaidi kwenye kazi zao.