Zoezi la sensa sasa kufanyika kwa njia ya simu

Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Anna Makinda

Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Anna Makinda amesema hadi kufikia saa mbili asubuhi ya leo kaya zilizohesabiwa ni asilimia 93.45 na hivyo wameamua kuongeza muda wa ziada wa siku 7 kukamilisha zoezi hilo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS