Mabalozi watakiwa kuhamasisha masoko
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania, katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani na uwekezaji.