Watakaotumia mifuko ya plastick kuchukuliwa hatua Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk.Selemani Jafo amegiza kuanzishwa kwa oparesheni kabambe yakuteketeza mifuko ya plastick katika maeneo mbalimbali nchini Read more about Watakaotumia mifuko ya plastick kuchukuliwa hatua