Zoezi la kuweka viakisi mwanga kwenye magari
Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani limetoa muda wa siku sita kwa wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vikiwemo magari, pikipiki zote za magurudumu matatu na trekta kuweka viakisi mwanga ili kukabiliana na ajali za barabarani