Waziri ahimiza uwekezaji kwenye mifugo Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, amewahimiza wawekeza kutoka sekta binafsi nchini kuwekeza katika sekta ya mifugo kwa sababu kuna fursa kubwa ya kukuza mitaji yao na kupata faida. Read more about Waziri ahimiza uwekezaji kwenye mifugo