Singida Big Stars yapiga kambi Mwanza kikosi cha Singida Big Stars . Timu ya Singida Big Stars imeamua kuyatumia mapumziko mafupi kuweka kambi yake jijini Mwanza kwa ajili ya michezo miwili ijayo ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar na Geita Gold itakayopigwa Uwanja wa CCM Kirumba. Read more about Singida Big Stars yapiga kambi Mwanza