Wanaopotosha kuhusu sensa mitandaoni waonywa
Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amewaonya wananchi wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha juu ya zoezi la Sensa kuacha kusambaza upotoshaji huo ili waweze kuepukana na mkono wa sheria wa makosa ya kimtandao unaoweza kuwafikisha mahakamani