Wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kulawiti Mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza imewahukumu kifungo cha Maisha jela watu wawili kwa kosa la kulawiti Watoto wenye umri wa miaka mitano na miaka 10 Read more about Wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kulawiti