Mtoto wa Mbunge afariki baada ya kunywa maji mengi

Kulia ni mtoto Cellie Mwambe, na kushoto ni Cecil Mwambe

Cellie Mwambe (14), ambaye ni mtoto wa Mbunge wa jimbo la Ndanda Cecil Mwambe, amefariki dunia jana Agosti 23, 2022, baada ya kujirusha kwenye swimming pool ya nyumbani kwao maeneo ya Ada Estate Kinondoni Dar es Salaam, wakati akicheza na wenzake na kujigonga chini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS