Walioshindwa kuwazuia al-Shabab kuwajibishwa
Waziri Mkuu wa Somalia Hamsa Abdi Barre amesema atawawajibisha maafisa wa usalama walioshindwa kuzuia shambulizi la mauaji lililotelekezwa na vikosi vya al-Shabab kwenye hoteli ya Hayat Hotel huko mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu