Rais Samia asisitiza usalama wa chakula SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa usalama wa chakula katika ukanda mzima wa Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na kuzisihi nchi hizo kuwekeza kwenye uchumi buluu. Read more about Rais Samia asisitiza usalama wa chakula SADC