Wananchi walalamika mwendokasi magari ya serikali

Wakazi wa Kijiji Cha Majalila Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi wamelalamikia mwendokasi wa magari ya Serikali yanayopita katika Kijiji Chao, na kudai kuwa yamekuwa yakisababisha hasara kwa kugonga na kuua mifugo yao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS