Chanzo cha kifo cha Mchekeshaji Erick IvyoIvyo

Picha ya mchekeshaji Mkojani na Marehemu Erick IvyoIvyo

Mchekeshaji Erick Ivyo Ivyo (Sauti ya Gharama) amefariki dunia Alfajiri ya leo na kwa sasa mwili wa Marehemu upo Kibaha mkoani Pwani kwa dada yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS