RC Shigela achukizwa mradi kujengwa kwa miaka 5

Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela akiwa kwenye ukaguzi wa mradi

Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela ameeleza kuchukizwa na kutokamilika kwa jengo la halmashauri ya wilaya ya Nyangwhale linalojengwa zaidi ya miaka mitano bila kukamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS