Ulega ahimiza vijana kufuga samaki

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewahimiza vijana wa kanda ya Ziwa Victoria kufuga samaki ili kujiongezea kipato na kuongeza fursa za ajira nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS