Karia afafanua kuvaa jezi ya Simba Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia amefafanua picha ambayo imekuwa ikisambaa mitandaoni ikimuonesha akiwa amevaa jezi ya klabu ya Simba Read more about Karia afafanua kuvaa jezi ya Simba