Mwanamke auawa na mamba akichota maji

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Orester Haule (25) mkazi wa kijiji cha Kipingu Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe amefariki dunia baada ya kukamatwa na mamba  na kumzamisha kwenye Maji  wakati akichota maji katika mto Ruhuhu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS