Waliochukua Rushwa wachukuliwe hatua - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amuagizla Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt Anna Makakala kuwachukulia hatua maafisa uhamiaji wa Zanzibar na Dar es salaam waliohusika kuchukua rushwa kwa wageni wakati wa utoaji wa vibali

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS