Mitaala ya elimu kupitiwa upya Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omar Kipanga Serikali imesema inaendelea kupitia mitaala na kupokea maoni kuhusiana na namna ya kuendesha elimu ya shule ya msingi, hasa muda wa masomo kwa wanafunzi wa darasa la saba. Read more about Mitaala ya elimu kupitiwa upya