Kimbunga Nanmadol chaitesa Japan. Watu milioni tisa wametakiwa kuondoka kwenye nyumba zao wakati huu ambao Japan inapitia janga kubwa la kimbunga kikali ambacho kimetajwa kama janga kubwa kuwahi kutokea nchini humo Read more about Kimbunga Nanmadol chaitesa Japan.