Dar ipo salama baada ya panya road 135 kukamatwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kwa siku nne tangu kuanza kwa operesheni ya kukabiliana na panya road Mkoa upo salama baada ya kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 135 na vifaa mbalimbali vilivyoibiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS