Familia yakanusha mtoto kufariki kisa kupigwa

Mtoto Bennet Kiwelu

Familia ya mtoto Bennet Kiwelu, mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Mt. Sayuni, Dar es Salaam, aliyefariki dunia kwa madai ya kushambuliwa shuleni na mwalimu, imesema kuwa habari hizo siyo za kweli, bali alifariki kutokana na tatizo lake la kiafya na si kutokana na adhabu shuleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS