Ditopile apongeza Kigoma kupata gridi ya taifa
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuandika historia ya kufikisha umeme wa gridi mkoani Kigoma kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania.

