Jela maisha kwa kubaka mtoto wake wa kambo
Shabani Budeba maarufu kama Kashenele mwenye umri wa miaka 60 amehukumiwa kifungo cha maisha na mahakama ya wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 12 ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne na kumsababishia Fistula