Waliopata ujauzito wahamasishwa kurejea shuleni
Wanafunzi waliopata ujauzito na kusitisha masomo yao ya msingi au sekondani Mkoani Lindi, wametakiwa kurudi shuleni mapema ili waweze kuendelea na masomo jambo litakalowasaidia kuweza kutimiza ndoto zao.

