Watu wawili wakamatwa kwa kuuza mbolea ya ruzuku
Watu wawili kati ya 27 waliyojipatia mbolea za ruzuku kwa njia wa udanganyifu na kisha kuziuza kwa wakulima wengine ili kutengeneza faida zaidi,wanashikiliwa na vyombo vya dola wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kuhujumu mfumo upatikanaji wa mbolea uliyowekwa na serikali.

