Wakulima watakiwa kuendana na teknolojia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wa John Mongella Wakulima wa Kanda ya Kaskazini wametakiwa kuendana mabadiliko ya Teknolojia katika kilimo hususani kwenye matumizi ya pembejeo bora za kilimo Ili kupata mazao yenye tija kwa taifa. Read more about Wakulima watakiwa kuendana na teknolojia