Ajali yaua takribani watu 16 Moja ya gari iliyokuwepo kwenye ajali Takribani watu 16 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, wilayani Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Read more about Ajali yaua takribani watu 16