Ndemla aongezwa Taifa Stars Kiungo wa Singida Big Stars, Said Ndemla ameongezwa katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kitakachocheza mechi mbili za kimataifa za kirafiki nchini Libya. Read more about Ndemla aongezwa Taifa Stars