"Kumwagilia moyo sawa na kuupiga mwingi" - BAKITA
Mchunguzi lugha mwanadamizi kutoka Baraza la Kiswahi la Taifa (BAKITA) Musa Kaoneka, amesema kwamba neno la kumwagilia moyo lililoanzishwa na vijana amesema halina tofauti na kuupiga mwingi kwani ni aina ya misemo ya Kiswahi ambayo hayana shida.