Bashe awaomba radhi wakulima wa Parachichi Rungwe Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewaomba radhi wakulima wa zao la parachichi wa wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kwa tatizo lililotokea msimu wa kilimo uliopita kuwa halitojirudia tena. Read more about Bashe awaomba radhi wakulima wa Parachichi Rungwe