Waziri Mkuu awataka watanzania kuwa wazalendo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuwa wazalendo kwa Taifa lao na washirikiane na Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Read more about Waziri Mkuu awataka watanzania kuwa wazalendo