Watu 14 wafa kwa ajali ya moto Thailand Watu zaidi ya 14 wameuawa na wengine 41 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika ukumbi wa burudani Mkoa wa Chonburi uliopo kusini -Mashariki mwa Thailand. Read more about Watu 14 wafa kwa ajali ya moto Thailand