Mazoezi ya kikosi cha mbwa na farasi Arusha
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amekagua mazoezi maalum ya kikosi cha mbwa na farasi ambao wanatumiwa na Jeshi hilo kuwatambua wahalifu mbalimbali wakiwemo wamadawa ya kulevya, silaha pamoja na mabomu