CCM yashauri ujenzi wa barabara nne nchi nzima

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana emesema umefika wakati kwa Tanzania kuwa na barabara nne kila upande kutoka Dar es Salaam hadi Tunduma kwa ajili ya kufungua fursa zaidi za kiuchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS